Job 23:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye habadiliki, nani awezaye kumgeuza? Analotaka, ndilo analofanya!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? Yeye hufanya lolote atakalo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye ni mmoja, ni nani awezaye kumgeuza? Tena nafsi yake ilitakalo, ndilo afanyalo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye habadiliki, nani awezaye kumgeuza? Analotaka, ndilo analofanya!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini yeye ndiye aamuaye peke yake, ni nani awezaye kumpinga? Yeye hufanya lo lote alitakalo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? Yeye hufanya lolote atakalo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye ni mmoja, ni nani awezaye kumgeuza? Tena nafsi yake ilitakalo, ndilo afanyalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye habadiliki, nani awezaye kumgeuza? Analotaka, ndilo analofanya!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yeye alivyo, ndivyo alivyo, yuko nani awezaye kumgeuza? nayo roho yake inayoyataka kweli, huyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye ni mmoja, ni nani awezaye kumgeuza? Tena nafsi yake ilitakalo, ndilo afanyalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yeye habadiliki, nani anayeweza kumugeuza? Kitu anachotaka, ndicho anachofanya!