Job 23:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani yeye hulitimiliza hilo nililoamuriwa; Tena mambo mengi kama hayo ya pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani yeye hulitimiliza hilo nililoamriwa; Tena mambo mengi kama hayo ya pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo atayatimiliza nayo, aliyoyaagiza, yanipate mimi; yako mengi yaliyomo moyoni mwake kama hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani yeye hulitimiliza hilo nililoamuriwa; Tena mambo mengi kama hayo ya pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatimiza yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yako katika akili yake.