Job 23:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata leo malalamiko yangu ni ya uchungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata leo mashitaka yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata leo malalamiko yangu ni uchungu, mkono wake ni mzito juu yangu pamoja na kulia kwangu kwa uchungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata leo malalamiko yangu ni chungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mkono wangu umelemea kwa kupiga kite.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata leo mashitaka yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata leo malalamiko yangu ni ya uchungu. Ninapata maumivu na kuugua.