Job 23:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ningeleta kesi yangu mbele zake, na kukijaza kinywa changu na hoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningeiweka daawa yangu mbele yake, Na kukijaza kinywa changu hoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ningeliweka shauri langu mbele zake na kukijaza kinywa changu na hoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ningeliweka shauri langu mbele zake, na kukijaza kinywa changu na hoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningeiweka kesi yangu mbele yake, Na kukijaza kinywa changu hoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningemwelezea shauri langu, alijue, nikakijaza kinywa changu maneno ya kushindana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningeiweka daawa yangu mbele yake, Na kukijaza kinywa changu hoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningeleta maneno yangu mbele yake, na kumutolea utetezi wangu.