Job 23:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile angeniambia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningeyajua maneno atakayonijibu, Na kuelewa na hayo atakayoniambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ningejua kwamba angenijibu nini na kuelewa lile ambalo angelisema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile ambalo angelisema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningeyajua maneno atakayonijibu, Na kuelewa hayo atakayoniambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningejua maneno, atakayonijibu, na kuyatambua, atakayoniambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningeyajua maneno atakayonijibu, Na kuelewa na hayo atakayoniambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia.