Job 23:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo mtu mwadilifu angeleta kesi yake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo walekevu wangepata kuhojiana naye; Basi hivyo ningeachiliwa na mwamuzi wangu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo wanyofu wangepata kuhojiana naye; Basi hivyo ningeachiliwa na mwamuzi wangu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ningeshindwa naye kwa kunyoka, nikapona kale na kale mikononi mwake anihukumuye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo walekevu wangepata kuhojiana naye; Basi hivyo ningeachiliwa na mwamuzi wangu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pale, mutu wa usawa anaweza kujitetea. Mungu, mwamuzi wangu angeamua kuwa sina kosa milele.