Job 23:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkono wa kushoto, afanyapo kazi, lakini siwezi kumwona; Hujificha upande wa kuume, hata nisimwone.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni, akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkono wa kushoto, afanyapo kazi, lakini siwezi kumwona; Hujificha upande wa kulia, hata nisimwone.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala kushotoni, kama yuko katika kazi zake, simpati, tutazamane; wala kuumeni simwoni, sijui, alikogeukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkono wa kushoto, afanyapo kazi, lakini siwezi kumwona; Hujificha upande wa kuume, hata nisimwone.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamutafuta upande wa kushoto lakini simwoni; ninageukia upande wa kuume, lakini siwezi kumwona.