Job 24:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama theluji inavyoyeyuka katika joto na ukame ndivyo Kuzimu kunavyowanyakua waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka, ndivyo Kuzimu kuwanyakuavyo waliotenda dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chaka na hari hukausha maji ya theluji; Kuzimu nako hao ambao wamefanya dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama theluji inavyoyeyuka katika joto na ukame ndivyo Kuzimu kunavyowanyakua waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile joto na hari vikaushavyo theluji iliyoyeyuka, ndivyo kuzimu kuwanyakuavyo wale waliotenda dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka, ndivyo kuzimu kuwanyakuavyo waliotenda dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukame na joto hukausha maji ya theluji; Kama kuzimu kuwafanyavyo watenda dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama theluji inavyoyeyuka katika joto na ukame ndivyo Kuzimu kunavyowanyakua waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama kiangazi kinavyotowesha maji ya theluji kwa ukali wa jua, vivyo hivyo kuzimu na kuwatoweshe wakosaji walio hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chaka na hari hukausha maji ya theluji; Kuzimu nako hao ambao wamefanya dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile teluji inavyoyeyuka katika joto na kipwa ndivyo kuzimu inavyotowesha waovu.