Job 24:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waovu huwadhulumu wanawake wasiopata watoto. Wala hawawatendei wema wanawake wajane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, nao hawaoneshi huruma kwa wajane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, yeye huwala walio tasa wasiozaa; Wala hamtendei mema mwanamke mjane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waovu huwadhulumu wanawake wasiopata watoto. wala hawawatendei wema wanawake wajane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwafanya mawindo wanawake walio tasa na wale wasio na watoto, nao hawaonyeshi huruma kwa wajane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, nao hawaonyeshi huruma kwa wajane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, yeye huwala walio tasa wasiozaa; Wala hamtendei mema mwanamke mjane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waovu huwadhulumu wanawake wasiopata watoto. Wala hawawatendei wema wanawake wajane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa maana aliwanyang'anya vyao wanawake wasiozaa, nao wajane hakuwafanyizia chema cho chote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, yeye huwala walio tasa wasiozaa; Wala hamtendei mema mwanamke mjane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanatesa wanawake wasiopata watoto wala hawawatendei vizuri wanawake wajane.