Job 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwanyanganya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwanyang’anya yatima punda wao, na kumchukua rehani fahali wa mjane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Humfukuza punda wake asiye baba, Humtwaa rehani ng'ombe wake mwanamke mjane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwanyang'anya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwanyang'anya yatima punda wao na kumchukua rehani fahali wa mjane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwanyang’anya yatima punda wao, na kumchukua rehani fahali wa mjane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwanyang'anya yatima punda wao, Humtwaa rehani ng'ombe wake mwanamke mjane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwanyanganya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Punda wao waliofiwa na wazazi huwachukua, nao ng'ombe wa wajane huwakamata kuwa rehani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humfukuza punda wake asiye baba, Humtwaa rehani ng’ombe wake mwanamke mjane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wananyanganya wayatima punda wao, wanatwaa ngombe dume wa mujane kuwa rehani.