Job 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mungu ni mwenye uwezo mkuu, watu wote na wamche. Yeye huweka amani mpaka juu kwake mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enzi na hofu zi pamoja naye; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mungu ni mwenye uwezo mkuu, watu wote na wamche. Yeye huweka amani mpaka juu kwake mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu, yeye huthibitisha amani katika mbingu juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enzi na hofu zi pamoja na Mungu; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mungu ni mwenye uwezo mkuu, watu wote na wamche. Yeye huweka amani mpaka juu kwake mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
anayepatengemanisha pake palipo huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enzi na hofu zi pamoja naye; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu ni mwenye uwezo mukubwa, watu wote wamwogope. Yeye anaweka amani mpaka juu kwake mbinguni.