Job 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kuhesabu majeshi yake? Ni nani asiyeangaziwa na mwanga wake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Majeshi yake yahesabika? Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kuhesabu majeshi yake? Ni nani asiyeangaziwa na mwanga wake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Majeshi yake yahesabika? Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kuhesabu majeshi yake? Ni nani asiyeangaziwa na mwanga wake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Vikosi vyake vinahesabika? Yuko nani asiyetokewa na mwanga wake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Majeshi yake yahesabika? Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kuhesabu majeshi yake? Ni nani asiyeangaziwa na mwangaza wake?