Job 25:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwake Mungu, hata mwezi haungai vya kutosha; nyota nazo si safi mbele yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwake Mungu, hata mwezi haung'ai vya kutosha; nyota nazo si safi mbele yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwake Mungu, hata mwezi haungai vya kutosha; nyota nazo si safi mbele yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiutazama mwezi utauona: hauangazi kabisa, wala nyota hazitakati machoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwake Mungu, hata mwezi hauangai vya kutosha, nyota nazo si safi mbele yake;