Job 25:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sembuse mtu ambaye ni mdudu, binadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
sembuse mtu ambaye ni funza: mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sembuse mtu ambaye ni mdudu, binadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
sembuse mtu ambaye ni funza, mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
sembuse mtu ambaye ni funza: mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sembuse mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sembuse mtu ambaye ni mdudu, binadamu ambaye ni buu tu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sembuse mtu aliye dudu! Sembuse mwana wa Adamu aliye funyo! Iyobu akajibu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ni nini sasa mutu ambaye ni kidudu, mwanadamu ambaye ni nondo tu!