Job 26:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amechora mstari wa upeo juu ya maji, ameweka mpaka wa nuru na giza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, ameweka mpaka wa nuru na giza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, ameweka mpaka wa nuru na giza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipima mviringo juu ya maji, uwe mpaka; ndipo, mwanga unapokutana nayo giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amechora muviringo juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwangaza na giza.