Job 26:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguzo za mbingu zatetemeka, Na kustaajabu kwa kukemea kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguzo za mbingu zatetemeka, Na kustaajabu kwa kukemea kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguzo za mbingu hutukutika kwa kutetemeka, akichafuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguzo za mbingu zatetemeka, Na kustaajabu kwa kukemea kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akitoa sauti ya kukaripa, nguzo za mbingu zinatetemeka na kushangaa.