Job 26:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nguvu zake aliituliza bahari; kwa maarifa yake alimwangamiza dude Rahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; kwa hekima yake alimkata Rahabu vipande vipande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huichafua bahari kwa uwezo wake, Na kumtema Rahabu kwa akili zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nguvu zake aliituliza bahari; kwa maarifa yake alimwangamiza dude Rahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari, kwa hekima yake alimkata Rahabu vipande vipande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; kwa hekima yake alimkata Rahabu vipande vipande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huichafua bahari kwa uwezo wake, Na kumtema Rahabu kwa akili zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nguvu zake aliituliza bahari; kwa maarifa yake alimwangamiza dude Rahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa uwezo wake huzistusha nazo bahari, kwa utambuzi wake huwaponda nao nondo waliomo baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huichafua bahari kwa uwezo wake, Na kumtema Rahabu kwa akili zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nguvu zake alituliza bahari; kwa maarifa yake alimwangamiza Rahabu.