Job 26:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa pumzi yake aliisafisha anga; mkono wake ulilichoma joka lirukalo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliisafisha anga kwa pumzi yake; kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizo mbingu hupambwa kwa roho yake; Mkono wake umemchoma nyoka aendaye mbio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa pumzi yake aliisafisha anga; mkono wake ulilichoma joka lirukalo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliisafisha anga kwa pumzi yake, kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliisafisha anga kwa pumzi yake; kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizo mbingu hupambwa kwa roho yake; Mkono wake umemchoma nyoka aendaye mbio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa pumzi yake aliisafisha anga; mkono wake ulilichoma joka lirukalo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuzipuzia mbingu huzichangamsha, mkono wake humchoma naye joka kubwa, akikimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizo mbingu hupambwa kwa roho yake; Mkono wake umemchoma nyoka aendaye mbio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa pumzi yake alisafisha anga; mukono wake ulitoboa nyoka mukubwa anayeruka.