Job 26:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; tazama jinsi ulivyo mdogo mnong’ono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuelewa nazo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minong'ono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake, tazama jinsi ulivyo mdogo mnong'ono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; tazama jinsi ulivyo mdogo mnong’ono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuzielewa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yamkini haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake. Nani awezaye kujua ukuu wa nguvu yake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Huku ni kama pembeni tu kwa njia zake, hayo maneno yake, tunayoyasikia, ni manong'ono tu, lakini hizo nguvu za ngurumo zenyewe yuko nani atakayezitambua? Iyobu akaendelea kutoa mifano akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong’ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuelewa nazo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake, nani anayeweza kujua ukubwa wa nguvu yake?