Job 26:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonesha!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi ulivyomshauri huyo asiye na hekima! Na kutangaza ujuzi wa kweli kwa wingi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi ulivyomshauri huyo asiye na hekima! Na kutangaza ujuzi wa kweli kwa wingi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiyeerevuka kweli umemwongoza vema ukimjulisha mizungu iliyo mingi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi ulivyomshauri huyo asiye na hekima! Na kutangaza ujuzi wa kweli kwa wingi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jinsi gani ulivyomushauri asiyekuwa na hekima, na kumushirikisha ujuzi wako!