Job 26:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Bildadi akajibu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Umetamka maneno kwa nani? Kisha ni roho ya nani iliyotoka kwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Uwezo mkuu wa Mungu Bildadi akajibu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Umetamka maneno kwa nani? Kisha ni roho ya nani iliyotoka kwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini umetamka hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?” Bildadi akajibu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani, uliyemwambia hayo maneno yako? Tena ni roho ya nani iliyokusemesha?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umetamka maneno kwa nani? Kisha ni roho ya nani iliyotoka kwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini umesema hayo kwa ajili ya nani? Nani aliyekusukuma kuongea hivyo?