Job 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji, na wale wanaoishi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao waliokufa watetema Chini ya maji na hao wayakaao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao waliokufa watetemesha Chini ya maji na hao wakaamo humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wazimu walioko chini hutetemeka, nayo maji pamoja nao wakaao humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao waliokufa watetema Chini ya maji na hao wayakaao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mizimu kule chini inatetemeka, maji ya chini na wakaaji wake yanaogopa.