Job 26:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hutandaza kaskazini mahali patupu, na hutundika dunia mahali pasipo na kitu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huining’iniza dunia mahali pasipo na kitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye hutandaza kaskazi juu ya nafasi isiyo na kitu, Na kuutundika ulimwengu pasipo kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hutandaza kaskazini mahali patupu, na hutundika dunia mahali pasipo na kitu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu, naye huining'iniza dunia mahali pasipo na kitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huining’iniza dunia mahali pasipo na kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye hutandaza kaskazi juu ya nafasi isiyo na kitu, Na kuutundika ulimwengu pasipo kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hutandaza kaskazini mahali patupu, na hutundika dunia mahali pasipo na kitu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliutandaza upande wa kaskazini mahali pasipokuwa na kitu, nayo nchi aliiweka kuwa juu ya hapo pasipokuwa lo lote kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye hutandaza kaskazi juu ya nafasi isiyo na kitu, Na kuutundika ulimwengu pasipo kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anatandaza kaskazini juu ya pahali patupu, na anatundika dunia pahali pasipo kuwa kitu.