Job 26:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyafunga maji ndani ya mawingu yake mazito; Na hilo wingu halipasuki chini yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyafunga maji ndani ya mawingu yake mazito; Na hilo wingu halipasuki chini yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huyafunga maji mawinguni yawe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mawingu yake hufunga maji, lakini hakuna wingu lipasukalo chini yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyafunga maji ndani ya mawingu yake mazito; Na hilo wingu halipasuki chini yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayafunga maji katika mawingu yakuwe mazito, nayo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.