Job 27:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawafundisheni kitendo cha Mungu kilivyo, sitawaficheni mipango yake Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitawafundisha kuhusu uweza wa Mungu; njia za Mwenyezi sitazificha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawafundisha ninyi mambo ya mkono wa Mungu; Hayo yaliyo kwa Mwenyezi sitayaficha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawafundisheni kitendo cha Mungu kilivyo, sitawaficheni mipango yake Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu, njia za Mwenyezi sitazificha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; njia za Mwenyezi sitazificha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawafundisha ninyi mambo ya mkono wa Mungu; Hayo yaliyo kwa Mwenyezi sitayaficha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawafundisheni kitendo cha Mungu kilivyo, sitawaficheni mipango yake Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawafundisha ninyi matendo yake mkono wa Mungu, Mwenyezi anayoyafanya, sitawaficha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawafundisha ninyi mambo ya mkono wa Mungu; Hayo yaliyo kwa Mwenyezi sitayaficha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawafundisha jinsi kitendo cha Mungu kinavyokuwa, sitawaficha mipango ya Mungu Mwenye Uwezo.