Job 27:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hiki ndicho Mungu alichomwekea mtu mwovu, alichopangiwa mdhalimu kupata ni hiki:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu, urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sehemu ya mtu mwovu kwa Mungu, Na urithi wa hao waoneao, waupokeao kwa Mwenyezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hiki ndicho Mungu alichomwekea mtu mwovu, alichopangiwa mdhalimu kupata ni hiki:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu, urithi wa mtu mdhalimu anaopokea kutoka kwa Mwenyezi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu, urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sehemu ya mtu mwovu kwa Mungu, Na urithi wa hao waoneao, waupokeao kwa Mwenyezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hiki ndicho Mungu alichomwekea mtu mwovu, alichopangiwa mdhalimu kupata ni hiki:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ni fungu lake asiyemcha Mungu lililoko kwake Mungu, tena ni urithi, watakaoupata kwake Mwenyezi, wao wakorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sehemu ya mtu mwovu kwa Mungu, Na urithi wa hao waoneao, waupokeao kwa Mwenyezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiki ndicho Mungu alichomwekea mutu mwovu; mutesaji alichopangiwa kupata ni hiki: