Job 27:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata watoto wake wawe wengi kiasi gani, fungu lao ni kuuawa kwa upanga; wazao wake hawatakuwa kamwe na chakula cha kuwatosha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto wake wakiongezeka ni kwa upanga; Na wazao wake hawatashiba chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani, fungu lao ni kuuawa kwa upanga, wazao wake hawatakuwa kamwe na chakula cha kuwatosha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani, fungu lao ni kuuawa kwa upanga; wazao wake hawatakuwa kamwe na chakula cha kuwatosha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto wake wakiongezeka ni kwa upanga; Na wazao wake hawatashiba chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawe watakapokua watauawa na upanga, nao wajukuu wake hawatashiba vyakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto wake wakiongezeka ni kwa upanga; Na wazao wake hawatashiba chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wake hata wakuwe wengi watauawa kwa upanga; wazao wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.