Job 27:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata akirundika fedha kama mavumbi, na mavazi kama udongo wa mfinyanzi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi, na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ajapokusanya fedha kama mavumbi, Na kujifanyia mavazi kama udongo kwa wingi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata akirundika fedha kama mavumbi, na mavazi kama udongo wa mfinyanzi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi, na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ajapokusanya fedha kama mavumbi, Na kujifanyia mavazi kama udongo kwa wingi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata akirundika fedha kama mavumbi, na mavazi kama udongo wa mfinyanzi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, alimbike fedha kuwa nyingi kama mavumbi, ijapo, ajiwekee mavazi kuwa mengi kama mchanga,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ajapokusanya fedha kama mavumbi, Na kujifanyia mavazi kama udongo kwa wingi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata akilundika feza kama vile mavumbi, na nguo kama vile udongo wa mufinyanzi,