Job 27:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na arundike tu, lakini mnyofu ndiye atakayeyavaa, na fedha yake watagawana watu wasio na hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yale yote mtu mwovu aliyojiwekea akiba, mwenye haki atayavaa, naye asiye na hatia ataigawanya fedha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yumkini kuyatengeza, lakini wenye haki watayavaa, Nao wasio na hatia watazigawanya hizo fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na arundike tu, lakini mnyofu ndiye atakayeyavaa, na fedha yake watagawana watu wasio na hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yale yote mtu mwovu aliyojiwekea akiba, mwenye haki ndiye atakayevaa, naye asiye na hatia ndiye atakayeigawanya fedha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yale yote mtu mwovu aliyojiwekea akiba, mwenye haki atayavaa, naye asiye na hatia ataigawanya fedha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yamkini kuyatengeza, lakini wenye haki watayavaa, Nao wasio na hatia watazigawanya hizo fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na arundike tu, lakini mnyofu ndiye atakayeyavaa, na fedha yake watagawana watu wasio na hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ijapo, ayaweke hivyo, atakayeyavaa ni mwongofu, nazo fedha watajigawanyia wao watakatao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yumkini kuyatengeza, lakini wenye haki watayavaa, Nao wasio na hatia watazigawanya hizo fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
yeye alundike tu, lakini mwenye haki ndiye atakayezivaa, na feza yake watu wasiokuwa na kosa wataigawanyana.