Job 27:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vitisho humvamia kama mafuriko; usiku hukumbwa na kimbunga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vitisho humjia kama mafuriko; dhoruba humkumba ghafula usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vitisho vyampata kama maji mengi; Dhoruba humwiba usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vitisho humvamia kama mafuriko; usiku hukumbwa na kimbunga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vitisho humjia kama mafuriko, dhoruba humkumba ghafula usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vitisho humjia kama mafuriko; dhoruba humkumba ghafula usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vitisho vyampata kama maji mengi; Dhoruba humwiba usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vitisho humvamia kama mafuriko; usiku hukumbwa na kimbunga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mastusho yanamfikia kama maji mengi, upepo wa chamchela unampokonya usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vitisho vyampata kama maji mengi; Dhoruba humwiba usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitisho vinamufikia kama vile mafuriko; usiku anapatwa na zoruba.