Job 27:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upepo wa mashariki humpeperusha akatoweka; humfagilia mbali kutoka makao yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka; humzoa kutoka mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upepo wa mashariki humchukua, naye huondoka; Na kumkumba atoke mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upepo wa mashariki humpeperusha akatoweka; humfagilia mbali kutoka makao yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka, humzoa kutoka mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka; humzoa kutoka mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upepo wa mashariki humchukua, naye huondoka; Na kumkumba atoke mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upepo wa mashariki humpeperusha akatoweka; humfagilia mbali kutoka makao yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upepo utokao maawioni kwa jua unamchukua, ajiendee, ukimwondoa kwa nguvu hapo pake, alipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upepo wa mashariki humchukua, naye huondoka; Na kumkumba atoke mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upepo mukali wa mashariki unamupeperusha naye anatoweka; unamufagilia mbali kutoka makao yake.