Job 27:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upepo huo humvamia bila huruma; atajaribu kuukimbia lakini mbio za bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humvurumisha bila huruma, huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani Mungu atamtupia asimhurumie; Angependa kuukimbia mkono wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upepo huo humvamia bila huruma; atajaribu kuukimbia lakini mbio za bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humvurumisha bila huruma, huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humvurumisha bila huruma, huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani Mungu atamtupia asimhurumie; Angependa kuukimbia mkono wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upepo huo humvamia bila huruma; atajaribu kuukimbia lakini mbio za bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unampiga mishale yake pasipo kumhurumia, hata atake hili mojo tu: kukimbia, atoke mkononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani Mungu atamtupia asimhurumie; Angependa kuukimbia mkono wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upepo ule unamufunika bila huruma; anajaribu kukimbia lakini mbio za bure.