Job 27:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siwezi kabisa kusema kuwa nyinyi mnasema ukweli mpaka kufa kwangu nasema sina hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; hadi nife, sitakana uadilifu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasha! Nisiwahesabie ninyi kuwa na haki; Hata nitakapokufa sitajiondolea uelekevu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siwezi kabisa kusema kuwa nyinyi mnasema ukweli mpaka kufa kwangu nasema sina hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi, hadi nife, sitakana uadilifu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; hadi nife, sitakana uadilifu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasha! Nisiwahesabie ninyi kuwa na haki; Hata nitakapokufa sitajiondolea uelekevu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siwezi kabisa kusema kuwa nyinyi mnasema ukweli mpaka kufa kwangu nasema sina hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi sitawaitikia kale na kale mpaka nitakapozimia, sitakoma kuvieleza kwamba: Sikukosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasha! Nisiwahesabie ninyi kuwa na haki; Hata nitakapokufa sitajiondolea uelekevu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siwezi kabisa kusema kwamba ninyi munasema ukweli. Mpaka kufa kwangu ninasema sina kosa.