Job 27:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nashikilia unyofu wangu, wala sitauacha; katika dhamiri yangu sina cha kunihukumu maishani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki yangu naishika sana, wala sitaiacha; Moyo wangu hautanisuta wakati nikiwapo hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nashikilia unyofu wangu, wala sitauacha; katika dhamiri yangu sina cha kunihukumu maishani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki yangu naishika sana, wala sitaiacha; Moyo wangu hautanisuta wakati nikiwapo hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nashikilia unyofu wangu, wala sitauacha; katika dhamiri yangu sina cha kunihukumu maishani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili ninalishika sana, sitaliacha kwamba: Mimi ni mwongofu, moyo wangu haunisutii moja tu miongoni mwao siku zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki yangu naishika sana, wala sitaiacha; Moyo wangu hautanisuta wakati nikiwapo hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninashikilia haki yangu, wala sitaiacha; katika zamiri yangu sina cha kunihukumu katika maisha yangu.