Job 28:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hakika kuna machimbo ya fedha, na mahali ambako dhahabu husafishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna machimbo ya fedha, na mahali dhahabu inaposafishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika kuna shimo wachimbako fedha, Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hakika kuna machimbo ya fedha, na mahali ambako dhahabu husafishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kuna machimbo ya fedha na mahali dhahabu isafishwapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuna machimbo ya fedha, na mahali dhahabu isafishwapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika kuna shimo wachimbako fedha, Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hakika kuna machimbo ya fedha, na mahali ambako dhahabu husafishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fedha zina mahali pao zinapoonekana, nazo dhahabu zina mahali pao, wanapozifulia mitoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika kuna shimo wachimbako fedha, Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika kuna nafasi ya kuchimba feza, na pahali ambako zahabu inasafishwa.