Job 28:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba, macho yake huona hazina zake zote za thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miambani anachonga njia za kupitia ndani yao; ndivyo, macho yake yanavyoona yote yaliyo yenye kima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapasua mifereji kati ya mawe makubwa, na jicho lake linaona mawe ya bei kali.