Job 28:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichostirika hukifunua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichositirika hukifunua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vijito vya ndani anaviziba, visimchuruzikie maji, apate kuyatokeza mwangani yaliyofichika ndani ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichostirika hukifunua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaziba chemichemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichwa.