Job 28:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini hekima itapatikana wapi? Ni mahali gani panapopatikana maarifa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali hekima itapatikana wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini hekima itapatikana wapi? Ni mahali gani panapopatikana maarifa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali hekima itapatikana wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini hekima itapatikana wapi? Ni mahali gani panapopatikana maarifa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini werevu wa kweli unaonekana wapi? napo mahali penye utambuzi pako wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali hekima itapatikana wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hekima itapatikana wapi? Ni pahali gani panapopatikana maarifa?