Job 28:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna mtu ajuaye thamani ya hekima, wala hekima haipatikani nchini mwa walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna mtu ajuaye thamani ya hekima, wala hekima haipatikani nchini mwa walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanadamu hatambui thamani yake, haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna mtu ajuaye thamani ya hekima, wala hekima haipatikani nchini mwa walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna mtu ajuaye, unapotengenezwa, hauonekani katika nchi yao wenye uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna mutu anayejua bei ya hekima, wala hekima haipatikani katika inchi ya wanaokuwa wazima.