Job 28:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haiwezi kupimwa kwa dhahabu ya Ofiri, wala kwa vito vya Sardoniki au vya rangi ya samawati,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haiwezi kutiwa thamani kwa dhahabu ya Ofiri, Wala kwa shohamu ya thamani nyingi, wala kwa yakuti ya samawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haiwezi kupimwa kwa dhahabu ya Ofiri, wala kwa vito vya Sardoniki au vya rangi ya samawati,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haiwezi kutiwa thamani kwa dhahabu ya Ofiri, Wala kwa shohamu ya thamani nyingi, wala kwa yakuti samawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haiwezi kupimwa kwa dhahabu ya Ofiri, wala kwa vito vya Sardoniki au vya rangi ya samawati,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala haupimiki kwa dhahabu tupu ile ya Ofiri, wala kwa almasi au kwa vito vya sardio vilivyo vyenye kima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haiwezi kutiwa thamani kwa dhahabu ya Ofiri, Wala kwa shohamu ya thamani nyingi, wala kwa yakuti ya samawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haiwezi kupimwa kwa zahabu ya Ofiri, wala kwa mawe ya sardoniki au ya yakuti samawi.