Job 28:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa kwa vito vya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dhahabu wala mawe maangavu kama kioo haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
dhahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na vito vya dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala dhahabu wala vioo vizuri mno ndivyo vinavyolingana nao, wala haununuliki kwa vyombo vya dhahabu vyenye urembo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zahabu au kioo havilingani nayo, wala haiwezi kubadilishwa na mawe ya zahabu safi.