Job 28:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Marijani na yaspi hazistahili kutajwa, thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hekima ina thamani kuliko matumbawe na marijani, thamani yake yashinda thamani ya lulu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Marijani na ulanga uangazikao vizuri hayakumbukwi uliko, kuwa na werevu wa kweli ni mali kuliko lulu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hekima ina bei kali kuliko mawe ya matumbawe na marijani, bei kali yake inashinda bei kali ya ushanga.