Job 28:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Topazi ya Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kupewa bei ya dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakuti ya rangi ya manjano ya Kushi haitasawazishwa nayo, Wala haitatiwa kima kwa dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Topazi ya Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kupewa bei ya dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakuti ya rangi ya manjano ya Kushi haitasawazishwa nayo, Wala haitatiwa kima kwa dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Topazi ya Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kupewa bei ya dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hauwezekani kulinganishwa navyo vito vya topasio vitokavyo Nubi, wala haupimiki kwa dhahabu itakatayo kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakuti ya rangi ya manjano ya Kushi haitasawazishwa nayo, Wala haitatiwa kima kwa dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Topazi ya Etiopia haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kupewa bei ya zahabu safi.