Job 28:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu huchimba chuma ardhini, huyeyusha shaba kutoka mawe ya madini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chuma hupatikana ardhini, nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chuma hufukuliwa katika ardhi, Na shaba huyeyushwa katika mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu huchimba chuma ardhini, huyeyusha shaba kutoka mawe ya madini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chuma hupatikana ardhini, nayo shaba huyeyushwa kutoka kwenye mawe ya madini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chuma hupatikana ardhini, nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chuma hufukuliwa katika ardhi, Na shaba huyeyushwa katika mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu huchimba chuma ardhini, huyeyusha shaba kutoka mawe ya madini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyuma vinachimbuliwa uvumbini, tena yako mawe yanayotokea shaba kwa kuyeyushwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chuma hufukuliwa katika ardhi, Na shaba huyeyushwa katika mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanachimba chuma ndani ya udongo, wanayeyusha shaba kutoka mawe ya madini.