Job 28:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, hekima yatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hekima yatoka wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, hekima yatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hekima yatoka wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, hekima yatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Werevu wa kweli unatoka wapi? napo mahali penye utambuzi pako wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hekima yatoka wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, hekima inatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa?