Job 28:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, hata imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umefichika machoni pao wote walio wenye uzima, nao ndege wa angani hawauoni, kwa kuwa uko umefunikwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Imefichwa mbali na macho ya viumbe vyote vyenye uzima, na ndege hawawezi kuiona.