Job 28:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abadoni na Kifo wasema, ‘Tumesikia uvumi wake kwa masikio yetu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uharibifu na Mauti husema, “Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uharibifu na Mauti husema, Tumesikia habari zake kwa masikio yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abadoni na Kifo wasema, ‘Tumesikia uvumi wake kwa masikio yetu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uharibifu na Mauti husema, Tumesikia habari zake kwa masikio yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abadoni na Kifo wasema, ‘Tumesikia uvumi wake kwa masikio yetu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuzimu nacho kifo husema: Kwa masikio yetu tulisikia tu, ukitajwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uharibifu na Mauti husema, Tumesikia habari zake kwa masikio yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shimo la kuangamia na Kifo wanasema: “Tumesikia uvumi wake kwa masikio yetu.”