Job 28:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mungu aijua njia ya hekima, anajua mahali inapopatikana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu ndiye aijuaye njia yake, Naye anajua mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mungu aijua njia ya hekima, anajua mahali inapopatikana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu ndiye aijuaye njia yake, Naye anajua mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mungu aijua njia ya hekima, anajua mahali inapopatikana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu anaitambua njia ya kwenda kwake, yeye tu anapajua, hapo pake ulipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu ndiye aijuaye njia yake, Naye anajua mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anajua njia ya hekima, anajua pahali inapopatikana.