Job 28:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana yeye huona mpaka upeo wa dunia, huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana anatazama hata miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana yeye huona mpaka upeo wa dunia, huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana anatazama hata miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana yeye huona mpaka upeo wa dunia, huona kila kitu chini ya mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye huchungulia hata mapeoni kwa nchi, huyaona yaliyoko chini ya mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana anatazama hata miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye anaona mpaka kwenye miisho ya dunia, anaona kila kitu chini ya mbingu.