Job 28:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipoufanyia upepo nguvu zake na kuyapima maji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoutengeneza ukali wa upepo, alipoupima wingi wa maji,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipoupa upepo uzito wake na kuyapimia maji mipaka yake,